Stars Uturuki waahidi makubwa,yapigwa 2-1 na Libya
Kocha wa Timu ya Taifa, Taifa Stars Boniface Mkwasa amesema, hali ya hewa iliyopo nchini Uturuki walipoweka kambi kujiandaa na mechi ya kufuzu fainali za AFCON dhidi ya Nigeria ina makusudi ya kuweza kuwaweka wachezaji katika hali nzuri kimazoezi.

