Waandishi watakiwa kuandika mabadiliko tabia nchi

Mkurugenzi wa Huduma za Utafiti na Matumizi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA), Dkt. Ladislaus Chang'a akitoa ufafanuzi kwenye warsha ya wadau kuhusu hali ya Hewa

WANAHABARI nchini wametakiwa kuwa mabalozi wa uandishi wa habari za mabadiliko ya tabia ya nchi ili kuiokoa dunia na mabadiliko ya tabia ya nchi yanayo tokea kwa kasi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS