Serikali yaombwa kutoa ruzuku wachimbaji wadogo

Baadhi ya wachimbaji wadogo wakitafuta madini kwa kutumia mfumo ambayo ni dunia

Serikali imeombwa kuangalia uwezekano wa wa kuwapatia ruzuku wachimbaji wa madini wadogowadogo hapa nchini ,ili kuwawezesha kufanyaka kazi ya uchimbaji kwa utaalamu na kuacha kuwa tegemezi kwa kuingia mikataba na wawekezaji kutoka nje ya nchi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS