Jay Moe amtaja mwalimu aliyemfunza kurap Kiswahili
Rapa Jay Moe kupitia story kadhaa ambazo tumekuwa tukipiga naye, amempatia credits swahiba wake Solo Thang kama moja ya watu wenye mchango mkubwa kumsaidia kipindi cha nyuma kwa upande wa kusuka mashairi kwa Kiswahili.

