UKAWA bado kizungumkuti Mtwara Mjini na Majimbo 13
Edward Lowassa akiwa na viongozi wa UKAWA wakati kutangaza kuhamia chama hiko jana katika Hoteli ya Bahari Beach.
Mgombea Ubunge jimbo la Mtwara mjini kupitia chama cha NCCR-Mageuzi, Hassan Uledi, amechukuwa fomu ya ugombea katika jimbo hilo baada ya kupata hidhini kutoka katika chama chake.