CDA yawataka wakazi Dodoma kuepuka Matapeli
Mamlaka ya Ustawishaji makao makuu (CDA) imewataka wakazi wa mji wa Dodoma kuepukana na matapeli wanapotaka huduma mbalimbali ndani ya mamlaka hiyo kwani wengi wao hutoa huduma kwa gharama kubwa huku mamlaka hiyo ikitoza gharama kidogo kwa huduma