Mwinyi mgeni rasmi utoaji zawadi kwa wanasayansi

Mkurugenzi wa Taasisi ya Wanasayansi vijana wa Tanzania(YST), Dk.Kamugisha Gozibert

Rais mtaafu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Ali Hasani Mwinyi anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa katika sherehe za utoaji tuzo kwa zaidi ya wanafunzi 240 na walimu 120 kutoka mikoa ya Tanzania bara na Zanzibar

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS