Chagua viongozi bora kwa faida ya watoto wako na wadogo zako Wote wenye vitambulisho tusichukulie poa, tuende kupiga kura kuchugua viongozi wanayefaa, tutakuwa tumewawakilisha vizuri wadogo zetu na watoto wetu. Read more about Chagua viongozi bora kwa faida ya watoto wako na wadogo zako