Shilole aanika matumizi yake, yazidi M.53

Nyota wa muziki na maigizo Shilole aka shishi Baby

Nyota wa muziki na maigizo, Shilole amejikuta akilazimika kuweka bayana baadhi ya taarifa zake za matumizi yake kufuatia hatua ya Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) kufikia uamuzi wa kumfungia kufanya shughuli zake sanaa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS