Masilahi ya wananchi kwanza, huyo ndo kiongozi bora. Kiongozi atufaaye ni yule atayeweka mbele maslahi ya nchi na watu wake na sio yule atakayeweka mbele maslahi ya yake binafsi. #ZamuYako2015. Read more about Masilahi ya wananchi kwanza, huyo ndo kiongozi bora.