Usaili wagombea TAHA kufanyika kesho Taifa
Usaili kwa wagombea wa Chama cha Mpira wa Mikono NcHini TAHA unatarajiwa kufanyika hapo kesho huku Baraza la Michezo Nchini BMT likisema litafanya uchaguzi huo licha ya baadhi ya nafasi za viongozi kuwa wazi.

