Wajumbe wapya 12 kuratibu Miss Tanzania
Baada ya kufunguliwa kwa mashindano ya kumtafuta Miss Tanzania na Baraza la Sanaa la Tanzania (BASATA), Kamati ya Maandalizi ya Michuano hiyo imekuja na mikakati ya kurejesha mashindano hayo makubwa ya kusaka walimbwende nchini.

