Watu 9 familia moja wateketea kwa moto Dar.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadiki

Familia ya watu tisa imeteketea kwa moto katika tukio la moto ulioteketeza nyumba moja alfajiri ya kuamkia leo eneo la Buguruni Malapa Jijini Dar es Salaam

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS