Lowassa kuongea na makundi ya wanawake leo
Mgombea urais wa CHADEMA kupitia UKAWA Mh Edward Lowassa leo anatarajia kuzungumza na makundi mbalimbali ya wanawake kabla ya uzinduzi wa kampeni kwa kueleza mipango alionayo katika kuinua uchumi wa wanawake na kupambana na umasikini.

