Size 8 amtukuza Yesu kwa Kiswahili
Baada ya kuingia katika muziki wa injili nyota wa muziki wa kike nchini Kenya Size 8, amezidi kuonesha mashabiki kuwa lugha ya Kiswahili haimpi taabu na kuweza kutumia lugha hiyo katika video ya wimbo wake mpya alioubatiza jina 'Afadhali Yesu'.