Wananchi watakiwa kuacha tamaa na pesa za TASAF

Mkuu wa mkoa Mbeya,Abasi Kandoro

Zaidi ya shilingi bilioni 2.3 zimeanza kugawiwa kwa wananchi kama ruzuku kwa kaya masikini mkoani mbeya kupitia mpango wa TASAF awamu ya tatu ambao unalenga kunusuru kaya masikini nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS