Tutatengeneza Uchumi shirikishi-ACT-Wazalendo
Chama cha ACT-Wazalendo jana kimezindua kampeni zake za urais, wabunge na madiwani kwa nchi nzima katika viwanja vya Zakhiem jijini Dar es Salaam huku wakiweka vipaumbele vinne katika ilani yao kwa ajili ya Maendeleo ya Taifa.

