Magufuli amaliza Njombe,Kuanza Ruvuma leo
Mgombea Urais kupitia chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe Magufuli amemaliza ziara yake katika mkoa wa Njombe na kuwaomba Watanzania kumchagua kwa kuwa ana mpango wa kuijenga Tanzania mpya ndani ya Chama hicho.

