Lipumba ang'atuka asema bado ataitumikia nchi
Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Wananchi (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba ametangaza rasmi kujiuzulu wadhifa huo kwa kile alichodai kuwa kunatokana Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA kushindwa kuenzi tunu za taifa za utu, uzalendo, uadilifu, umoja, uwazi