Shetta: Shikorobo imenitangaza nje
Msanii wa miondoko ya Bongofleva Shetta amezungumzia kuhusu video ya wimbo wake wa Shikorobo ambao umekuwa ni hit ndani na nje ya nchi uliompa nafasi kubwa ya kujitangaza zaidi kupitia kolabo aliyoifanya na nyota wa Nigeria, KCEE.