Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amesema iwapo wananchi watamchagua kuwa Rais, elimu itatolewa bure kuanzia ngazi ya msingi hadi sekondari.