Timu za taifa kuelekea Congo Brazzaville leo
Timu ya Taifa ya Tanzania yenye wachezaji wapatao 30 na viongozi 7 wa michezo mbalimbali inatarajia kuondoka jijini Dar es Salaam leo jioni na ndege maalum kuelekea Congo Brazaville kushiriki katika michezo ya Afrika (All Africa Games).

