Timu ya Taifa ya Nigeria kuwasili leo usiku Timu ya Taifa ya Nigeria (Super Eagles) inatarajiwa kuwasili saa nne usiku wa leo jijini Dar es salaam kwa usafiri wa ndege binafsi tayari kwa mchezo dhidi ya Tanzania siku ya jumamosi uwanja wa Taifa. Read more about Timu ya Taifa ya Nigeria kuwasili leo usiku