Shein azindua mnara wa kumbukumbu ya mapinduzi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein amewalaumu na kuwaita wapinga maendeleo baadhi ya watu wanaodai serikali imekuwa ikitumia fedha kwa mambo yasiyo ya lazima na kutojali sekta za kijamii.
