Wahandisi wazawa wana uwezo wa kuleta maendeleo

Katibu Mkuu kiongozi balozi Ombeni Sefue

Katibu mkuu kiongozi balozi Ombeni Sefue amesema wahandisi wazawa wana uwezo mkubwa sawa sawa na wa kutoka nje na wakitumika vizuri watailetea nchi maendeleo na kufikia uchumi wa kati mwaka 2025.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS