Moto wateketeza maduka 6 Morogoro
Moto umeteketeza maduka 6 katika soko kuu la mjini Morogoro na kusababisha hasara baada ya bidhaa mbalimbali kuteketea kabisa ambapo wafanyabaishara wakitupia lawama shirika la umeme tanzania Tanesco kutokana na kukatikakatika kwa umeme.