Planet Bongo
Kwenye PALNET BONGO wiki hii baada ya kujikumbushia show zetu zilizopita sasa tuna kuja na huyu hapa muite Ney Wa Mitego akiwa na Shamsa Ford mengi wamefunguka kuhusu mahusiano yao na kazi zao,ni juma tatu hii saa 9:00pm ndani ya PLANET BONGO usikose
