Witnesz ajitetea baada ya kubezwa
Rapa Witnesz ameonyesha kuguswa na kubezwa na watu kwa njia ya mtandao, kufuatia kuweka picha akiwa na viongozi wa juu wa nchi, akifafanua kuwa picha hizo hazimaanishi kwa vyovyote mpaka sasa kama kuna upande ana usapoti kisiasa.

