Nay: Ipo kazi uchaguzi huu
Nay wa Mitego, moja ua wasani wakubwa hapa nchini ambao msimamo wake kisiasa upo wazi, ameiambia eNewz kuwa hiyo ni sehemu ya demokrasia ya uchaguzi ambayo kila mtu anayo, huku akikiri kuwepo kwa kazi kubwa ya mbio za kampeni safari hii.

