23 Stars waingia kambini, waendelea na mazoezi leo
Kikosi cha wachezaji 23 cha Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars kimeingia kambini leo kujiandaa na mechi ya kuwania kufuzu fainali za AFCON dhidi ya Nigeria itakayochezwa Jumamosi hii uwanja wa taifa jijini Dar es salaam.

