Tusiwachagulie viongozi Wananchi - Karsan
Waandishi wa habari nchini wameaswa kuacha kuwachaguliwa wananchi viongozi hasa katika Kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi mkuu na badala yake wafanye kazi yao ya kutoa habari na kufichua maovu katika jamii.
