Nay ameeleza kuwa, hali hiyo imeweza kuzua hofu kwa watu wazima juu ya kile kitakachotokea baada ya uchaguzi, akitoa tahadhari kuwa haina haja ya kulipizana kisasi baada ya uchaguzi kutokana na upande ambao mtu ameamua kuwepo.

Nay wa Mitego, moja ua wasani wakubwa hapa nchini ambao msimamo wake kisiasa upo wazi, ameiambia eNewz kuwa hiyo ni sehemu ya demokrasia ya uchaguzi ambayo kila mtu anayo, huku akikiri kuwepo kwa kazi kubwa ya mbio za kampeni safari hii.