Waamuzi hawana tatizo,kikosi chetu sio imara-Mrage
Kocha wa timu ya JKT Ruvu Mrage Kabange amesema, katika Michuano ya Ligi kuu hajaona tatizo la waamuzi katika mechi mbalimbali isipo kuwa ni mapungufu ya timu yake ndio yamechangia timu hiyo kushindwa kufanya vizuri