Msechu aanika sababu za kumganda mama mtoto wake
Msanii Peter Msechu ameeleza namna ambavyo mama wa binti yake Lauren, ni mwanamke ambaye amekuwa na mchango mkubwa katika safari yake ya muziki mpaka kufika hapa alipo, akijiaminisha kuwa ataendelea kumganda na kuwa naye pamoja katika hali yoyote.