Bobi ang'ata na kupuliza ugomvi wake na Bebe
Bobi Wine amezungumza ugomvi unaohisiwa kuwepo kati yake na Bebe Cool ambaye ni mshindani wake mkubwa katika tasnia ya muziki Uganda na kueleza kuwa binafsi hana muda wa kugombana na msanii huyo, zaidi ya kumrekebisha na kumkosoa pale anapokosea.