Mama wa Size 8 maziko Uganda Size 8 Maziko ya mama wa nyota wa muziki Size 8 kutoka nchini Kenya, yamepangwa kufanyika huko Mbale Uganda baada ya misa na tukio la kutoa heshima za mwisho kwa marehemu kufanyika jana huko Kenya. Read more about Mama wa Size 8 maziko Uganda