Kill Stars kucheza kwa tahadhari kujilinda
Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania Bara The Kilimanjaro Stars Abdallah Kibaden amesema, watacheza kwa tahadhari katika mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi hapo kesho dhidi ya Ethiopia ili kuweza kutunza nguvu kwa ajili ya robo fainali.