Izzo Bizness awajibu mashabiki kuhusu video yake. Msanii Izzo Bizness amewajibu mashabiki wake na kutoa maelezo ya kutosha, kuhusu kwa nini video yake inaonekana haina ubora tofauti na walivyotarajia, ingawa yeye ameridhishwa na video hiyo. Read more about Izzo Bizness awajibu mashabiki kuhusu video yake.