Sanaa zote za mapigano kuvaana tamasha la Wushu

Wanamichezo wa michezo ya sanaa za mapigano wakionyesha umahili wao.

Baada ya kulisogeza mbele tamasha kubwa la kimataifa la michezo ya sanaa zote za mapigano lililokuwa lifanyike mwishoni mwa mwezi ujao sasa chama cha Wushu Tanzania kufanya tamasha la kitaifa siku hiyo hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS