Dawa ya Kipindupindu Dar yatajwa Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam Dkt. Aziz Msuya amesema ili ugonjwa wa kipindupindu uweze kumalizika ni lazima wakazi wa jiji waache tabia ya kujiunganishia maji Read more about Dawa ya Kipindupindu Dar yatajwa