Kili Stars yamaliza makundi CECAFA bila kupoteza

Kikosi cha timu ya taifa ya soka ya Tanzania bara [Kilimanjaro Stars].

Tanzania Bara imefuzu kwa kishindo Robo Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge kufuatia kumaliza mechi za makundi bila kupoteza mchezo hata mmoja baada ya kushinda miwili na kwenda sare mchezo mmoja kundi A.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS