Zanzibar yathibitisha kuwa wenyeji Kagame 2016 Chama cha soka visiwani Zanzibar (ZFA) kimethibitisha kuwa mwenyeji wa mashindano makubwa ya vilabu kwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kati KAGAME CUP yanayotarajiwa kufanyika mwezi wa Julai mwakani. Read more about Zanzibar yathibitisha kuwa wenyeji Kagame 2016