Kill Stars kuwasili kesho kwa maandalizi ligi kuu Kikosi cha timu ya soka Tanzania Bara kinatarajiwa kurejea nchini kesho kutokea nchini Ethiopia baada ya kutolewa kwenye mashindano ya CECAFA Senior Challenge Cup hapo jana na wenyeji Ethiopia. Read more about Kill Stars kuwasili kesho kwa maandalizi ligi kuu