Sijaridhika kukatwa kwa slogan yangu -Nahreel
Producer ambaye anaendelea kufanya vizuri katika anga za kimataifa kutoka hapa nyumbani Nahreel wa The Industry, amelalamikia kitendo cha kukatwa kwa Slogan yake ya “Nahreel on the beat” kwenye wimbo ya Nana ambayo ameitengeneza yeye.