Polisi,TRA wayashikilia makontena 9 Dar es salaam
Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam likishirikiana na maafisa wa Forodha na Mamlaka ya Kodi ya Mapato Tanzania (TRA) limeyakamata makontena tisa maeneo ya Mbezi Beach Tank Bovu yakiwa yameshushwa katika eneo ambalo siyo rasmi kuhifadhi makontena.