Wafanyabiashara majengo, Dodoma watishia kugoma

Hizi ni baadhi ya sehemu za wafanyabiashara wa soko la majengo mkoani dodoma

Wafanyabiashara katika soko kuu la majengo lililopo katika manispaa ya Dodoma wametishia kufanya mgomo usiokuwa na kikomo kama Manispaa hiyo itavunja vibanda vya wafanyabiashara walioko pembezoni mwa mto unaopita katikati ya soko hilo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS