Yanga na Mtibwa zatinga nusu fainali Mapinduzi
Klabu ya Yanga imefanikiwa kutinga hatua ya Nusu fainali kufuatia ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mtibwa mabao ambayo yamefungwa na wachezaji Aboubakar na Malimi Busungu na kuwa kinara wa kundi B la michuano ya Kombe la Mapinduzi.

