ACACIA kupunguza wafanyakazi baada ya soko kushuka

Meneja Mkuu wa rasilimali watu wa kampuni hiyo Bi. Janet Lekashingo

Kampuni ya Madini ya ACACIA, inayomilikia migodi mitatu ya dhahabu ikiwemo Buzwagi, North Mara na Bulyanhulu imeanza zoezi la kupunguza wafanyakazi wake ili kukabiliana na athari za kushuka kwa soko la dhahabu katika soko la dunia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS