Yanga yamkabidhi jezi namba 14 nyota kutoka Niger
Vinara wa ligi kuu ya soka Tanzania bara Yanga imemtambulisha nyota wake mpya wa kimataifa kutoka Niger mbele ya waandishi wa habari Boubacar Yusuph kwa kumkabidhi jezi namba 14 tayari kwa kuanza kuwatumikia wanajangwani hao.