Wasanii waende na wakati - Master Jay Producer mkongwe wa muziki wa Bongofleva kutoka MJ production Master Jay, amesema muziki wa Tanzania ulipofika ni wakati wa wasanii kujitambua na kuendana na wakati kuanzia kazi zao hadi muonekano kwa watu. Read more about Wasanii waende na wakati - Master Jay